Njia
za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa
unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yak. Swali, wapi utapata huo
mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji
wa biashara.
- 1. Mali binafsi
Shamba,
fedha, nyumba, gari, mifugo, mazao nk
2. Mkopo:-
Mkopo
kutoka kwa:
Marafiki,
ndugu, jamaa, serikali
Taasisi
za kukopesha kama pride, seda, faida, best, finca
Benki
nk.
a. Masharti ya mkopo
- Dhamana kama vile nyumba, arthi, mazao,
kikundi n.k.
- Mchanganuo wa biashara
- Biashara inayo endelea(<miaka 3)
- Kuwepo kwa ofisi kama ni mkopo mkubwa
zaidi ya milioni 3
- Biashara iliyosajiliwa kam ni
biashara kubwa
- Riba ya mkopo
- Kiasi cha mkopo na uwezo wa mkopo
b. Muda wa kurudisha mkopo na riba
Vyanzo
vya kukopa mabenki, mashirika binafsi Kama vile SEDA, PRIDE, FINCA n.k