Tuesday, April 15, 2014

UGONJWA WA KISUKARI UNAVYOITESA DUNIA LEO



Huu ni ugonjwa ambao unasababishwa na kongosho kushindwa kuzalisha insulini au mwili kushindwa kutumia insulini ambayo inazalishwa ktk kongosho,Sukari (glucose) ikiingia ktk mwili kama ikizidi kongosho huzalisha glucgone homoni ambayo hutumika kubadilisha glucose kwenda kwenye glycogen ambayo inahifadhiwa kwenye misuli,kama mwili ukifikia kuwa hauna sukari ya kutosha glucagon huibadilisha glycogen kuwa glucose na kutumika ktkt mwili kwa hiyo kama kongosho ikishindwa kuzalisha glucagon hapa ndipo chanzo cha sukari ya kushuka huanza na mtu kuugua kisukari cha kushuka.Kwasababu cell za mwili huanza kushambuliwa.


AINA ZA KISUKARI
Kuna aina mbili za kisukari.
1.KISUKARI CHA KURITHI
Hichi ni kisukari ambacho mtu hurithi kutoka kwa wazazi wake pindi tu anapozaliwa,kutoka tumboni pindi tu ambapo mfumo wa utengenezaji wa mtoto unapoanza.kisukari hichi kongosho halijitengenezei insulini ya kutosha.
2.AINA YA PILI NI KISUKARI AMBACHO SIO CHA KURITHI
Hiki ndio kisukari ambacho kinatusumbua wengi kwa sasa ktk familia zetu,jirani zetu na dunia kwa ujumla.kisukari hichi kinasemekekana hadi 2030 asilimia hamsini ya watu duniani watakuwa wanakufa na kisukari,hii husababishwa na ina ya maisha tunayoishi,vyakula vya kemikali tunavyokula na ukosefu wa kufanya mazoezi.Takwimu inaonyesha kuwa watu 347 millioni duniani wanakisukari,
VINAVYOSABABISHA KISUKARI
1.Kongosho kutofanya kazi vizuri au kutofanya kazi kabisa
2.Kula vyakula vyenye sukari nyingi
3.Kutofanya mazoezi
4.Kurithi kutoka kwenye ukoo
5.Matatizo ya figo na presha ya kupanda
6.Uzito kupita kiasi
ATHARI ZA UGONJWA WA KISUKARI
1.Kupungua uwezo wa kuona
2.Kupungua nguvu za kiume
3.Presha ya kupanda
4.Kutopona vidonda haraka

UNAWEZA KUKAA MWENYE AFYA HATA KAMA MWENYE KISUKARI
1.Kula kwa afya
2.Fanya mazoezi
3.Tumia dawa ipasavyo
4.Angalia sukari yako mara kwa mara
5.Linda presha yako kila mara
6.Usivute sigara
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
1.Uchovu mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara
3.Kupungua uzito
4.Kuhisi kiumara kwa mara
5.Kupungua uwezo wa tendo la ndoa
6.Maumivu miguuni.
Watu wengi wamekubali kuwa kisukari hakitibiki lakini kisukari kinatibika lakini tatizo watu wengu tunapenda kutumia saana dawa zenye kemikali ndo maana kisukari kinakuwa hakitibiki,lakini pia watu wanatibiwa kisukari hali ya kuwa seli za miili yao bado haziko vizuri kwa hiyo wanapopewa dawa hazifanyi kazi ipasavyo,kwa hiyo ni vyema upewe dawa zenye kutengeneza seli zako za mwili vizuri halafu utumie dawa zisizokuwa na kemikali nakuhakikishia utapona kisukari na utarudi kama zamaini.

Kama unatatizo hilo waweza wasiliana na 0658494977 kwa ushauri na tiba
Share:

0 comments:

Post a Comment

KUHUSU MMILIKI WA BLOG HII

My photo
Naitwa faraja Mmasa a.k.a Moa,Mkazi na mzaliwa wa Wilaya ya Gairo Morogoro.KARIBU KATIKA BLOG hii tuelimishane mambo mbalimbali.Inatupasa kuwa na ufahamu wa mambo mbalimbali ili tuweze kuyatawala Mazingira yetu .Kuwa na Mwanasheria au Mhasibu haimanishi unatikiwa kujua au kufuatilia maswala ya uhasibu na sheria tu.Mfano nyumba yako au ndoa yako hutaindesha kwa taaluma uliyonayo.Vile vile huwezi kuendesha ujasiliamali kwa mafanikio kwa shahada yako ya uhandisi.TUNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA

UJUMBE WA LEO

MIUJIZA MINGI INAYOTOKEA KATIKA MAISHA IPO KATIKA MAWAZO,FIKRA,NA IMANI ALIYONAYO MWANADAMU HUSIKA

USIKOSE KIPINDI HOT JIJINI POWER CLUB ,SIBUKA REDIO 94.5 KILA SIKU SAA SABA MPAKA SAA KUMI

USIKOSE KIPINDI HOT JIJINI POWER CLUB ,SIBUKA REDIO 94.5 KILA SIKU SAA SABA MPAKA SAA KUMI

GAR AD2

GAR AD2

GARI ADVERT

GARI ADVERT

Castrol

Castrol
Powered by Blogger.